Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

Rege

Senior Member
Joined
Jul 9, 2022
Posts
117
Reaction score
153
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.

Swali: Je, Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
 
Si vema waziri afanye/ajitume zaidi ya aliyempa uwaziri! Lazima afyekwe!

Waziri anataka awe na mwendo wa farasi? Yeye nani bhana! Tunataka ndondondo tuu
 
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.

Swali Je Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
ila ukweli kuna mahali panatakiwa paangaliwe serious hasa kwenye samaki wa ziwa kubwa....
 
Wanao tumbuliwa wana yao, na si kweli wanao baki au kuhamishwa ni wasafi. Mkuu alisema viongozi wanagombana, hawaelewani.

Wataelewana vipi, eg chukua walio kuwa wizara ya udongo, mkubwa akitetea huku mdogo akitaka kupora ardhi za watu?
 
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.

Swali: Je, Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
Hakuna cha utendaji mbovu wala nini hapo.Abdalah Ulega aliitafuta hio nafasi kwa udi na uvumba pia team msoga imembeba Ulega,Ndaki katafutiwa sababu tu yakuondolewa hakua tatizo lolote
Kwani hawa mawaziri waliopo ndio wanafanya kazi sana?Kubebana tu kulinda nafasi yako hakikisha una connection na team msogo kwa awamu hii
 
Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine Ndugulile.

Swali: Je, Mawaziri Mizigo wameshakwisha Serikalini? na sasa tunakwenda vizuri?
Ukiacha Mama Gwajima, the rest ni mawaziri mizigo, garbage in garbage out.
 
Waziri wa Ulinzi pia ni Mzigo tu anakaaje kimya wakati Wanajeshi wanapiga Raia tunataka Mawaziri wenye kuwajibika.
 
Back
Top Bottom