Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu jamaa katuuza sana !
HehehehHuyu jamaa anayejiita Mchungaji Mashimo amesababisha hasara baada ya wadau wengi wa Uswahili kucheza kamari wakiamini kwamba maneno yake yana ukweli wowote .
Huyu anapaswa kukamatwa na kuhojiiwa ili iwe fundisho kwa matapeli wengine
View attachment 2597342
😃😃😃Jamani sio yeye hamwoni mkono wa huyu jamaa ni baunsa
[emoji38][emoji38][emoji38]Aujui lugha za kichungaji wewe,embu chukua hii[emoji116]
"kwa jicho la kibinadamu utaona Yanga wameshinda ila kwa jicho la kiroho na la kiuunga Yanga hawajashinda",haleluyaa"
hapo tayarari waumini washapigwa[emoji36]