Mashimo akamatwe kwa uongo na kusababisha hasara

Mashimo akamatwe kwa uongo na kusababisha hasara

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu jamaa anayejiita Mchungaji Mashimo amesababisha hasara baada ya wadau wengi wa Uswahili kucheza kamari wakiamini kwamba maneno yake yana ukweli wowote .

Huyu anapaswa kukamatwa na kuhojiiwa ili iwe fundisho kwa matapeli wengine

FB_IMG_1682267480187.jpg
 
Aujui lugha za kichungaji wewe,embu chukua hii[emoji116]

"kwa jicho la kibinadamu utaona Yanga wameshinda ila kwa jicho la kiroho na la kiuunga Yanga hawajashinda",haleluyaa"

hapo tayarari waumini washapigwa[emoji36]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom