KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Huyu ni tapeli asiye na akili timamuHuyu jamaa anayejiita Mchungaji Mashimo amesababisha hasara baada ya wadau wengi wa Uswahili kucheza kamari wakiamini kwamba maneno yake yana ukweli wowote .
Huyu anapaswa kukamatwa na kuhojiiwa ili iwe fundisho kwa matapeli wengine
View attachment 2597342