Mashimo: Simba anzeni kuimba wimbo wa parapanda, Yanga itashinda

Simba imekufa kwa goli 5 kwa 1, ni kipigo cha aibu. Huyu nabii kajipatia credit kwa utabiri wake. Leteni mrejesho anajisikiaje simba kupigwa kama mbwa koko
 
Aahaaaaa

Jumapili ijayo naenda kusali kanisani kwake
Screenshot_20231105-185353_AiScore.jpg
 
Back
Top Bottom