Kwetu Jang'ombe ndio kwanza inaendelea na hata umeme hakuna.Mvua imeisha[emoji23][emoji23]
AahaaaaaSimba imekufa kwa goli 5 kwa 1, ni kipigo cha aibu. Huyu nabii kajipatia credit kwa utabiri wake. Leteni mrejesho anajisikiaje simba kupigwa kama mbwa koko
AahahahahhahaWalisema kmc,jkt dhaifu wamekuwaje simba daaah aibu ya mwaka hii
basi kwa sasa vumilieni mmeshaJIONEAKwani kumbe dk 90 tayari na matokeo unayo mwenzetu mpaka unatusihi tuvumilie?Au unataka tuvumilie tantalila za Mashimo?