Mashimo ya Choo yasiyojaa ni kama yako Over-Charged hivi

Ulifikilia sana boss
 
Ila we dalali wa mafundi ni muongo muongo
 
Nadhani bei kuwa juu haitokani na material inayotumika, bali utaalamu unaotumika kujenga mashimo hayo. Kwa sana unacholipia ni utaalamu na si material inayotumika kujenga mashimo hayo. Kama mashimo hayo yangeweza kujengwa na mafundi hawa wa kawaida, gharama isingevuka kiasi zaidi ya laki mbili au tatu. Kwa hiyo mzee hapo unachajiwa kutokana na akili inayotumika, na si material yanayotumika
 
Mimi nitengeneza hizi system, huyu anaesema ni cheap namshangaa.

Gharama yangu ni kati ya 2m-2.5m kulingana na mazingira yalivyo. Kunawakati ukikosea kustudy site hiyo hela inakata najikuta natumia gharama zangu. Hapa jf kila mtu anajifanya mjuaji
Ndio nachosema ni kweli Materials yake yanafikia huko kwenye 2m - 2.5mil?
 
So ni kama alivosema mdau pale juu kua Materials 400,000/= kisha Utaalamu 1.6mil?
 
Daah 89 hadi leo si wanasema ni ya kileo/kisasa? Kumbe tangu zamani yalikuwako? Asante kwa ushuhuda.
Mm kwa mzee wangu ni tangu 1993 na sikuwahi kuona likifanyiwa marekebisho ya aina yoyote
 
Hii 2m ni contract value... Yaani gharama zote za site Kama site visit, site organization, materials na contractor's profit.
Hii mada akijibu Mtu anaefanya Biashara ya Kuwachimbia watu haya Mashimo kama wewe lazima uta justify tu bei kuzidi 2mil. Lakin kua mkweli, Materials mnatumia kias gani katika hiyo 2mil?
 
Mi nadhan bei kubwa sababu wanaofany hii kazi bado wachache.....ukitaka bei iwe chini kidogo mchukue fundi anaefanya kaz kwenye haya makampun akufanyie kibingwa....
Lakini ni kweli hayajai..
 
Mi nadhan bei kubwa sababu wanaofany hii kazi bado wachache.....ukitaka bei iwe chini kidogo mchukue fundi anaefanya kaz kwenye haya makampun akufanyie kibingwa....
Lakini ni kweli hayajai..
Hapo umeongea Mkuu,
Heri fundi anaefanya kwenye haya makampuni akakufanyia private
 
Tangu nipigwe na wazee wa "liquid protector" kwamba hata simu ikidondoka kioo hakipasuki, sina hamu kabisa na hizi mbwembwe nyingine nyingine.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ni kweli kaka,

Nimekumbuka wale jamaa wanaoweka Liquid Screen Protector, zilikuaga zaitwa NANO nadhani. Wakati wanaingia ilikuaga kuweka ni 20,000/=. Lakini sasa mpaka TZS 5,000/= unaweka, na hivi zishaingia feki.
Juzi kuna mmoja kariakoo alitaka aweke ktk simu yangu kwa 2500 ...nilichekaaaa nikamwambia ngoja niingie hapa atm mashine narudi
 
mnaongeaga u$€^ge tu hamna lolote.
Hizo pesa za kutengeneza mfumo ukiharibika miaka 7 ijayo utazipata wapi wakati pesa zenyewe ni zakudunduliza.
maneno meeeengi BS tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…