Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ronald anapewa nafac kubwa
Ronald anapewa nafac kubwa
Me pia nimemuuliza hajanijibu.Ronald ndo Ronaldo?
Issa Mamba ni mtata huyu dogo, ila Noel pia najua atakuwa Dar tangu shule zifungwe atakuwa kajinoa sana anaweza akafanya maajabu naona watu kama wanamsahau balaa lake vile.Safari hii mi naenda na issa mamba aisee,, anaeza akawa bingwa
Mtu anayecheza drafti mpka anapata umaarufu namna hii dah namuona kama genius... Ila cha kushangaza wengi ni wa kawaida tuu dah
Ha haaa, nasikia akili zilitaka kumruka kwa kuumiza kichwa kufikiria mabao magumu.Fatilia ujue kisa cha Mangwelele kuacha draft, utaelewa kwamba akili inatumika sana.
Ha haaa, nasikia akili zilitaka kumruka kwa kuumiza kichwa kufikiria mabao magumu.
Huyo simfahamu Mkuu, lakini kwa matokeo hayo na mchezaji kama Ronaldo ni wazi yuko njema sana pia.Kuna jamaa anaitwa James aka Mapigo, sijajua kama alikuwepo kwenye hayo mashindano. Huwa namwelewa sana.
Waliwekeana game 50 na Ronaldo wakatoka 2 kwa 2.
Huyo simfahamu Mkuu, lakini kwa matokeo hayo na mchezaji kama Ronaldo ni wazi yuko njema sana pia.
Duh kama jamaa kakubali kusawazishiwa anaenda kufa, Nduli atatinga semi final.Ndul kachomoa 2 kwa 2dhidi ya Simba dom wanaenda michezo 4 ya kuanzishiana
Hahaha kisa chake kinasisimua kidogo pili kinamkatisha tamaa mpinzaniFatilia ujue kisa cha Mangwelele kuacha draft, utaelewa kwamba akili inatumika sana.
Bewe linachezwa mpaka muda huu?Ndul kachomoa 2 kwa 2dhidi ya Simba dom wanaenda michezo 4 ya kuanzishiana
Java IPI , java mpya au ya zamani??Kama unatokea upande wa Tazara shuka banana chukua magar ya kitunda kisha shuka Nyaza ulizia ukumbi wa java co mbal mashndano yanaanza Saa tano asubh
Ilikuwaje aiseeHahaha kisa chake kinasisimua kidogo pili kinamkatisha tamaa mpinzani
Duh Simba wa Dom sio mchezo katoboa aisee!! Anaweza fanya maajabu huyu mtu.Waliiongia nusu faunal Ronald,issa mamba,Simba was Dodoma Na noel namaloe
Waliiongia nusu faunal Ronald,issa mamba,Simba was Dodoma Na noel namaloe
Aliugua sana kichwa akapelekwa hospitali, huko alilazwa siku nyingi akiugulia. Ndugu zake walikua wanahangaika sana kumtibia hadi akapata nafuuIlikuwaje aisee