elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Hahahaaa!kwata mwizi jamaa ana ongea yule, ila nishawahi kumuona anacheza na nduli, kwata mwizi akamshika nduli pabaya ,nduli akaanza kufikiria, kwata mwizi akaanza maneno yake naombeni gazeti nisome au kama hamna ngoja niende choon nikakate gogo huku navuta fegi wakati nduli anafikiria asogeze kete ipi na aliondoka kweli, nduli alimaindi sana.Nduli na Ronaldo walikuwa hawapendi kucheza pamoja Yale maeneo ya Majengo, Kwata Mwizi alikuwa anamwogopa Sana Nduli japo Ndul alikuwa mbabe Ila Kuna vijana walijitoq Sana kucheza nao na nna Imani Kuna washindani wakubwa sasa hvi