Ukipata nafasi ya kupiga picha draft likiwa limeisha piga tuone goliMkuu mech n nyng mno tutatoa matokeo ya ujumla kwa hatua hii ya mzunguko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata nafasi ya kupiga picha draft likiwa limeisha piga tuone goliMkuu mech n nyng mno tutatoa matokeo ya ujumla kwa hatua hii ya mzunguko
Ukipata nafasi ya kupiga picha draft likiwa limeisha piga tuone goli
Kwanini wasiwe wanachukua video. Wanafanya editing wanafungua account wanatupia YouTube. Hela nje nje
Sasa we jamaa ndo umenikumbusha nilikuwa nashidwa kuwatofautisha hawa watu wawil Ronald na nduli. walikuwa na bifu hawa sijui sasa hiviAsee hao jamaa wengi nmekutananao Dodoma maeneo ya Majengo sokoni, Kwata mwizi, Ronaldo, Nduli na Domo la Mamba!!!
Game za hawa jamaa zinakuwa nyingi ni droo, mfano fainali zinaweza kuchezwa hata game 50 zote draw, kwa hiyo unakuta haina mvuto kuiweka YouTube.
Ila wazo zuri sana hiliKwanini wasiwe wanachukua video. Wanafanya editing wanafungua account wanatupia YouTube. Hela nje nje
Bado bifu liko pale pale.Sasa we jamaa ndo umenikumbusha nilikuwa nashidwa kuwatofautisha hawa watu wawil Ronald na nduli. walikuwa na bifu hawa sijui sasa hivi
Lakini kwa nini wanaweka hela kwa masharti?Hao wakiweka hela usithubutu
Ronado yupo
Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko
Yupo. Tayari ameshatolewa. Kuna wababe wametoka songea, iringa wanasukuma kote balaa.
Nimependa hii idea ,hy bar sio ya jamaa mmoja wa Vodacom ? Km ni hapo ,hongera zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nduli na Ronaldo walikuwa hawapendi kucheza pamoja Yale maeneo ya Majengo, Kwata Mwizi alikuwa anamwogopa Sana Nduli japo Ndul alikuwa mbabe Ila Kuna vijana walijitoq Sana kucheza nao na nna Imani Kuna washindani wakubwa sasa hviSasa we jamaa ndo umenikumbusha nilikuwa nashidwa kuwatofautisha hawa watu wawil Ronald na nduli. walikuwa na bifu hawa sijui sasa hivi
Lakini kwa nini wanaweka hela kwa masharti?
Elfu mbili kwa Elfu Kumi. Bingwa elf 10 wewe elfu 2 tu, kwa sharti kwamba kete ya kwanza ni zamu yako wewe wa elfu 2 na pia anakuchagulia pa kucheza. Ushaiona hiyo? Ipo kijiwe cha Buguruni Chama.
Amekariri mchezo mmoja anaujua mwanzo mwisho, bingwa gani huyo?
Hao wote awamuwezi mangwelele,Amani siri,Issa white,msomali,Shekebele etcMafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
MangweleleKwa fundi anayelijua bao vizuri kete ya kwanza tu inaamua matokeo ya gemu zima ndio maana kwa kuwa anaweka hela nyingi zaidi yako anakuanzishia kete mbovu we utafute sare tu.
Kwa jinsi draft lilivo kila mchezo mkicheza wote kwa usahihi bila kukosea matokeo ni droo, ndio maana mafundi hawafungani kwa sababu wanajua michezo fulani kwa usahihi mwanzo-mwisho kwa hiyo ana uhakika wa kutoa sare.
Juma mchafu ni marehemu mkuu.kama huyu bingwa wa daslama na tanzania nzima hayupo sio drafti hilo, Ronaldo, mangwerere, na juma mchafu wakiwepo vumbi litatimka sana huko kitunda