Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Aisee mm nishabiki napenda sana huu mchezo nikipata muda nitatokea hapo nione watu wakisukuma kete.
 
Wakuu Mliopo dimbani update muhimu,,

Nani amekufa hapo hadi sasa
 
Mkuu mech n nyng mno tutatoa matokeo ya ujumla kwa hatua hii ya mzunguko
 
Mkuu mech n nyng mno tutatoa matokeo ya ujumla kwa hatua hii ya mzunguko
Sawa sawa mkuu ,, maana najua apo timu zipo 35 inamaa kila timu ina mechi 34(zenye michezo mitatu ndani yake), raundi ya kwanza hua ndefu sana
 
Mkuu Mangwelele ni mstaafu yupo kama mratb Na mchafu ameshafarki mda mrefu tu Shaban Mdoka(aliens,field marshal, scientist,champion of the champion ronald )yupo hapa java lounge anashrk mashindano
Daa ila hapo java pana balaa sana unashtuka kumekucha
 
Mchezo utakua British au French? make nyie watu wa Pwani draft hamjui vizuri..Kipindi chetu cha Sokwe mtu kisiwa cha Saa nane Mwanza ilikua balaa.
 
Mchezo utakua British au French? make nyie watu wa Pwani draft hamjui vizuri..Kipindi chetu cha Sokwe mtu kisiwa cha Saa nane Mwanza ilikua balaa.
Draft zuri ni la kula kete ya mpinzani wako inayopota upande wowotewa kete yako iwe nyuma mbele kushoto ama kulia
 
Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko
Jet lee? Jina kapewa na nani hili? Haya majina ya hivyo tunayo mafundi tu, mimi naitwa Bruce Lee, ila ufundi wangu sikwambii ni wa nini.
 
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.

Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.

Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Mwanangu ntafutie namba hata ya mmoja wao anipe twisheni basi
 
Back
Top Bottom