Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa mkuu ,, maana najua apo timu zipo 35 inamaa kila timu ina mechi 34(zenye michezo mitatu ndani yake), raundi ya kwanza hua ndefu sanaMkuu mech n nyng mno tutatoa matokeo ya ujumla kwa hatua hii ya mzunguko
Daa ila hapo java pana balaa sana unashtuka kumekuchaMkuu Mangwelele ni mstaafu yupo kama mratb Na mchafu ameshafarki mda mrefu tu Shaban Mdoka(aliens,field marshal, scientist,champion of the champion ronald )yupo hapa java lounge anashrk mashindano
Mkuu utatujulisha hadi sasa timu gani imeonyesha wembe wa nguvuMpambano bdo unaendelea wazee
DUUH HUYO JAMAA HATARI MZEE LABADA KAMA CHA ARUSHA KIMEMZIDI ILA KWA WAKATI ULE JAMA ALIKUWA UNBEATENRonado yupo
Hata picha hamna unafeli wapiMech za mzunguko zitaendelea kesho wanagombea kuingia 16 bora mech hazijaish
Nilikua na uliza hapo java ni kwa yule jamaa wa Voda? Naye ni mkali wa draft sanaMech za mzunguko zitaendelea kesho wanagombea kuingia 16 bora mech hazijaish
Draft zuri ni la kula kete ya mpinzani wako inayopota upande wowotewa kete yako iwe nyuma mbele kushoto ama kuliaMchezo utakua British au French? make nyie watu wa Pwani draft hamjui vizuri..Kipindi chetu cha Sokwe mtu kisiwa cha Saa nane Mwanza ilikua balaa.
Anapenda kuchezea pale chabela camp sioRonald fund Mkubwa mtoto was Dar ila anaish Dodoma
Jet lee? Jina kapewa na nani hili? Haya majina ya hivyo tunayo mafundi tu, mimi naitwa Bruce Lee, ila ufundi wangu sikwambii ni wa nini.Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko
Mwanangu ntafutie namba hata ya mmoja wao anipe twisheni basiKwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.
Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.
Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Mi nikiskia mtu anacheza french nawaza kama weweMimi nikishasikia mtu anacheza British wala huwa sielewi ni nini kinamfanya acheze mchezo wa kitoto hivyo
Mwamba nielekeze huko nikifika dar niendeMangwelele walisha mstaafisha amebaki kuwa 'mtafiti' wa mabao magumu, ana vijana wake anawanoa akiwemo Issa Mamba.