Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, hata huu mchezo wanarogana?Huu mchezo tatizo lake mafundi wengi wana mambo ya kishirikina sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, hata huu mchezo wanarogana?Huu mchezo tatizo lake mafundi wengi wana mambo ya kishirikina sana
Aina ya mchezo ni French au British? Mimi huwa napendelea French . British imekaa kitoto haina mahesabu kichwaniMashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
View attachment 1474666
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Aina ya mchezo ni French au British? Mimi huwa napendelea French . British imekaa kitoto haina mahesabu kichwani
Mimi nikishasikia mtu anacheza British wala huwa sielewi ni nini kinamfanya acheze mchezo wa kitoto hivyoNi British, French inachezwa sana kanda ya ziwa. Ila kwenye hao mafundi wengi wao pia ni wakali wa French, ukitaka 'mkataba' wanakupatia tu..
Napendekeza kama kuna uwezekano kuwepo na clips za mashindano hayo kwa channel yeyote itakayopendekezwa YouTube. Hakuna namna ya kuendesha mashindano hayo live online? Tuliopo mbali pia tuone mpambano mubashara.
Tunasubiri any update. Nimesubscribe uzi huu kujua kipi kitajili.Hlo wazo zur mkuu tutawasilsha sehm huska
Yes, nadhani ni vema akaleta updates za mashindano kwa kutumia uzi huu huu.Tunasubiri any update. Nimesubscribe uzi huu kujua kipi kitajili.
Ronado yupo
Aisee kumbe sikuhizi mafundi wamebadilika enzi zetu nilikuwepo mimi mangwelele juma mchafu na mafundi wengine wengi vijiwe buguruni,mbagala tmk
Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.
Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.
Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.
Hao wakiweka hela usithubutu labda kama unataka kujifunza mitego ila sio kuchukua hela zao. Huyo Gaidi ni balaa na nusu.Basi Gaidi atakuwa nux kile kironaldo kinaweza kikakuwekea elfu kumi kwa buku mbili na bado akawa anazichukua, kabla sijakijua kilinichukulia hela dodoma nikashtuka, basi itakuwa hatari sana huko kitunda itabid nifanye mpango niende
Mangwelele walisha mstaafisha amebaki kuwa 'mtafiti' wa mabao magumu, ana vijana wake anawanoa akiwemo Issa Mamba.Mangwerere anashinda pale manyanya kinondoni nikifanikiwa kupita leo ntampitishia hizi habari huenda atanigawia ganji [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kuna siku nlikuta bwege mmoja anacheza nae kamari kaliwa mpaka laki tatu, dogo alikuwa hamjui, watu wamemkalia kimya, aliekuja kugutusha ni fala mmoja akaja akamuuliza dogo unacheza na mangwelele huogopi ? ndio dogo kushtuka eti kumbe wewe ndio mangwelele akakimbia wahuni walimmaindi jamaa alogutusha walikuwa wanacheza twenty twenty [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kana 'ngoma zake' hizo wanaziitaga msitu wa Congo ukiingia hutoki, wenyewe wanasema 'huo ni msitu wa Congo mijusi wanakula watu' hataree kabisa.Basi Gaidi atakuwa nux kile kironaldo kinaweza kikakuwekea elfu kumi kwa buku mbili na bado akawa anazichukua, kabla sijakijua kilinichukulia hela dodoma nikashtuka, basi itakuwa hatari sana huko kitunda itabid nifanye mpango niende