Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Ni British, French inachezwa sana kanda ya ziwa. Ila kwenye hao mafundi wengi wao pia ni wakali wa French, ukitaka 'mkataba' wanakupatia tu..
Mimi nikishasikia mtu anacheza British wala huwa sielewi ni nini kinamfanya acheze mchezo wa kitoto hivyo
 
Hili ni wazo zuri na linawezekana, kwa watakao kuwa eneo la tukio wanaweza kufanya live coverage tukaenjoy.

Tena unaongea na Muandaaji/waandaaji na wachezaji wafahamishwe kuwa mtakuwa live kupitia social networks itaongeza hamasa na pia itakuwa njia nzuri ya kupromote huu mchezo.

Mara kadhaa wamekuwa wakiomba wapate wadhamini wa kuendesha league ya draft Tanzania bila mafanikio, ila hili ni moja ya eneo ambalo mtu anaweza kutengeneza mfumo na ikamlipa vizuri sana kwa kuwa huu mchezo pia una mashabiki wengi.

Niliwahi kufikiria kuorganise hii kitu kwa kuhusisha wadau wengine ila tatizo la nchi yetu serikali itaanza kuleta siasa na kuingilia kama inavyo vuruga soka letu.
Napendekeza kama kuna uwezekano kuwepo na clips za mashindano hayo kwa channel yeyote itakayopendekezwa YouTube. Hakuna namna ya kuendesha mashindano hayo live online? Tuliopo mbali pia tuone mpambano mubashara.
 
Mkuu Mangwelele ni mstaafu yupo kama mratb Na mchafu ameshafarki mda mrefu tu Shaban Mdoka(aliens,field marshal, scientist,champion of the champion ronald )yupo hapa java lounge anashrk mashindano
 
Kama hayupo mangwelele na makoti au jetlee basi hakuna mafundi huko

Mangwerere anashinda pale manyanya kinondoni nikifanikiwa kupita leo ntampitishia hizi habari huenda atanigawia ganji 🤣🤣🤣, kuna siku nlikuta bwege mmoja anacheza nae kamari kaliwa mpaka laki tatu, dogo alikuwa hamjui, watu wamemkalia kimya, aliekuja kugutusha ni fala mmoja akaja akamuuliza dogo unacheza na mangwelele huogopi ? ndio dogo kushtuka eti kumbe wewe ndio mangwelele akakimbia wahuni walimmaindi jamaa alogutusha walikuwa wanacheza twenty twenty 🤣🤣🤣
 
Kwa kusema hao ni 'wanafunzi wao' simaanishi hawana ufundi mkuu, wana balaa hao sio kidogo hata ukiwauliza kina Mangwez wanawatambua.

Sema tu zama za kina Mangwelele na wenzake zinaishia wanabaki kuwa malegend kwenye huo mchezo.

Kuna jamaa anaitwa Gaidi wa Moro ushamsikia balaa lake? Aliwakalisha wote hao Moshi kwenye mashindano Oktoba 2019. Nusu fainali alimchana Ronaldo then akamuua Nduli fainali.

Basi Gaidi atakuwa nux kile kironaldo kinaweza kikakuwekea elfu kumi kwa buku mbili na bado akawa anazichukua, kabla sijakijua kilinichukulia hela dodoma nikashtuka, basi itakuwa hatari sana huko kitunda itabid nifanye mpango niende
 
Basi Gaidi atakuwa nux kile kironaldo kinaweza kikakuwekea elfu kumi kwa buku mbili na bado akawa anazichukua, kabla sijakijua kilinichukulia hela dodoma nikashtuka, basi itakuwa hatari sana huko kitunda itabid nifanye mpango niende
Hao wakiweka hela usithubutu labda kama unataka kujifunza mitego ila sio kuchukua hela zao. Huyo Gaidi ni balaa na nusu.
 
Mangwerere anashinda pale manyanya kinondoni nikifanikiwa kupita leo ntampitishia hizi habari huenda atanigawia ganji [emoji1787][emoji1787][emoji1787], kuna siku nlikuta bwege mmoja anacheza nae kamari kaliwa mpaka laki tatu, dogo alikuwa hamjui, watu wamemkalia kimya, aliekuja kugutusha ni fala mmoja akaja akamuuliza dogo unacheza na mangwelele huogopi ? ndio dogo kushtuka eti kumbe wewe ndio mangwelele akakimbia wahuni walimmaindi jamaa alogutusha walikuwa wanacheza twenty twenty [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mangwelele walisha mstaafisha amebaki kuwa 'mtafiti' wa mabao magumu, ana vijana wake anawanoa akiwemo Issa Mamba.
 
Basi Gaidi atakuwa nux kile kironaldo kinaweza kikakuwekea elfu kumi kwa buku mbili na bado akawa anazichukua, kabla sijakijua kilinichukulia hela dodoma nikashtuka, basi itakuwa hatari sana huko kitunda itabid nifanye mpango niende
Kana 'ngoma zake' hizo wanaziitaga msitu wa Congo ukiingia hutoki, wenyewe wanasema 'huo ni msitu wa Congo mijusi wanakula watu' hataree kabisa.
 
Back
Top Bottom