JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo wa draft wakicheza mabingwa kwa mabingwa huchukua muda mtefu sana mpaka gemu kuisha. Sasa wakianza kuchukua video utakuta game moja limechukua saa zima labda kama kuwe na kamisaa ambaye anatumia stopwatchKwanini wasiwe wanachukua video. Wanafanya editing wanafungua account wanatupia YouTube. Hela nje nje
Hahahaha mamluki wengi sijui kwanini wana spirit hiyo kudhani kwamba kete tatu za main road zina elements za ushindi.Kucheza mnajua au ndo mmekalili mcheZo wenu mmoja wa kusogeza kete tatu za kati mbele.
Unashangaa elfu mbiliLakini kwa nini wanaweka hela kwa masharti?
Elfu mbili kwa Elfu Kumi. Bingwa elf 10 wewe elfu 2 tu, kwa sharti kwamba kete ya kwanza ni zamu yako wewe wa elfu 2 na pia anakuchagulia pa kucheza. Ushaiona hiyo? Ipo kijiwe cha Buguruni Chama.
Amekariri mchezo mmoja anaujua mwanzo mwisho, bingwa gani huyo?
Daah ronaldo katolewa?Yupo. Tayari ameshatolewa. Kuna wababe wametoka songea, iringa wanasukuma kote balaa.
Daah ronaldo katolewa?
Sasa hamisi itakuje?
Nakumbuka kinondoni mwaka juzi alishachukua ubingwa ila sikumbuki dau lilikua kiasi ganiHivi Ronaldo ameshawahi kuchukua ubingwa mashindano makubwa?
Heheheheheeee, draft Tz hii lipo buguruni ndugu kwengine kote wanajifunza tu.Mashindano makubwa ya draft yanatarajiwa kufanyka siku tatu tarehe 12/6/2020 mpaka 14/6/2020 maeneo ya Kitunda relini.
View attachment 1474666
Njoo uone mafundi wakubwa wakipiga kete kali
Mchafu unamjua??[emoji3][emoji3]Mafund wrote Issa mamba,dogo Janja,dogo Ally, dogo Yassin eagle, Master Chaula,nduli ndulima,dogo Sisco,Kwata mwivi,Ronald,Simba wa kongwa Na wengneo
Uyo mchafu ni mchawi[emoji3][emoji3]Aisee kumbe sikuhizi mafundi wamebadilika enzi zetu nilikuwepo mimi mangwelele juma mchafu na mafundi wengine wengi vijiwe buguruni,mbagala tmk
Hee innallilah cjawahi ckia aiseeMchafu ni marehemu hv ss
Mda gani wanaanza kucheza mwamba?Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Duh naona miamba watupu, Noel pia yupo..Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Sijaelewa mkuu yaani mashindano yanaisha leo au tarehe 16 Siku ya j4Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Sijaelewa mkuu yaani mashindano yanaisha leo au tarehe 16 Siku ya j4