Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Mashindano makubwa ya "drafti" Dar: Noel Namaloe atwaa ubingwa baada ya kumshinda Ronaldo katika fainali

Nduli na Ronaldo walikuwa hawapendi kucheza pamoja Yale maeneo ya Majengo, Kwata Mwizi alikuwa anamwogopa Sana Nduli japo Ndul alikuwa mbabe Ila Kuna vijana walijitoq Sana kucheza nao na nna Imani Kuna washindani wakubwa sasa hvi
Hahahaaa!kwata mwizi jamaa ana ongea yule, ila nishawahi kumuona anacheza na nduli, kwata mwizi akamshika nduli pabaya ,nduli akaanza kufikiria, kwata mwizi akaanza maneno yake naombeni gazeti nisome au kama hamna ngoja niende choon nikakate gogo huku navuta fegi wakati nduli anafikiria asogeze kete ipi na aliondoka kweli, nduli alimaindi sana.
 
Hahahaha mamluki wengi sijui kwanini wana spirit hiyo kudhani kwamba kete tatu za main road zina elements za ushindi.

Kuna sehemu nilifika nikaomba kucheza, mpinzani wangu aliposukuma kete yake ya kwanza mi nikatoka na yakulia basi akashangaa alijua ile kete yake ya road aliyoanza nayo nitaikata. Akaanza matambo kua "ushafungwa tayari maana umefanya kosa kusukuma kete ya kindezi"

Mwisho wa siku akafa

Mi nauitaga mchezo wa draw sio wa ushindi

Ukikata tu basi mnaanza kuelekea kwenye ma draw
 
Mi nauitaga mchezo wa draw sio wa ushindi

Ukikata tu basi mnaanza kuelekea kwenye ma draw
Wee thubutu! kukata kete ni kuelekea kwenye draw?

Juma mchafu alipewa kibarua cha kutoa sare na jamaa mmoja hivi, kwa mkataba huu kua jamaa aanze kutoka na kete ya road halafu mchafu anachotakiwa ni kuikata ile kete

Hiyo ndiyo siku ambayo mchafu aliliwa pesa zote na kuvuliwa nguo
 
Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Huyu Amani siri ni yule wa clouds au?
 
Waliiongia hatua ya 16 bora no 1 Nduli ndulma,2 Ronald FM 3Issa mamba,4 Aman Siri mchunguzi)5 Noel Namaloe 6 Dogo Sisco 7Simba wa Kongwa,8 dogo Ally 9Saiya 10 Mtanga,11 Rama Arusha 12 Swedish 13 Hemedi Gaidi 14 Kwata mwivi 15 Dogo janja 16 Fyatuka mahisabati
Mashindano yanaendelea leo
16 June 2020
Hii ndo miamba sasa,,

Mkuu gemu zinaanza saa ngapi..

Na utaratibu wa kiingilio uko vipi.?
 
Simba Dom 3 Mtanga 2 mech ambayo bdo no Noel Namalowe vs Swed inaendelea
 
Game bado zinaendelea na muda ndo unazidi kuisha
IMG_20200614_181455.jpeg
 
Robot fainali Ronald vs gaidi,issa mamba vs dogo Cisco,noel vs dogo ally,Simba was Dom vs ndul ndulma
 
Back
Top Bottom