Kama ni mtu naweza kum-influence nitamleta. Ila kama ukimtaja mtu sina mazowea nae nitashindwa.
Heh, kumbe seriazi ishuzi zinachuukuliwa uchokozi wa kiroboto.
Hakuna anayeweza kukataa
Atakayeleta tuu hata kusita, anakkula IP ban
Cc Babu DC
Kwetu sie wa 1947, kutoka out na mtu (tena wa jinsia tofauti) lilikuwa jambo kubwa sana....Wengine hata iliwabidi wasafiri kwenda mbali sana kutafuta vitendea kazi (nguo, raizoni, pafyum n.k) ili mtoko uwe wa kihistoria....!
Una maana ya mtoko kama huo??
Naomba jibu kabla sijajificha...
Babu DC!!
Hata mimi wa 1947. Ndio, ni mtoko ule wa ukwee, wa enzi zetu.
Muongozo wa spika
Vigezo vilivyotumika kunichakachua kwenye kinyang'anyiro ni kipi?
Sijaaunga mkono hoja.
Ila kama nafurahia maana mtaani najitangaza 'lourreti'
Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali, madini ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya
uchumi tulio jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak
sustainable policy. hebu mlioko
karibu na watawala muwashauri.
Mi nimeona makosa hapo penye red. Hapo kwa mkapa na Kikwete amekosea kwa kutofungua mabano.
Hujui kuhesabu? tumia vidole vya mikono na vya miguu ikibidi, then njoo na jibu
Hahahaha, nilijibu kabla sijaona hii post, sasa I fee bad!
Napata shida kwenye kuscroll mpaka jasho linanitoka. Sema kuna kitu hapa sijakielewa vizuri. Hivi hiyo out itahusisha na mambo yetu yale?Kwa hiyo huwezi jibu? si utumie hiyo hiyo ya kichina, au sijaelewa?
Speed yako inatisha mkuu ulikuwa umeshajihesabia mazima kuondoka na mchuma!Hahaha. Mtu yeyote makini lazma anikosoe jinsi nilivyotoa jibu tofauti na swali lilivyojieleza. Wewe u makini
Speed yako inatisha mkuu ulikuwa umeshajihesabia mazima kuondoka na mchuma!
Nimeiona ila saa saba watu mnakuwa mmechoka inabidi mkodi roomMambo gani? we si umeona ratiba?
Ila seriously hayo makosa ya kiandishi yanakwaza mno. Kama Bishanga..... An hour anasema anu hawa!