Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

Kwa hiyo lazima mtu upige kwanza reverse translation to his mother tongue ndio upate ujumbe? :A S 39:
Tatizo ni kwamba amechanganya madesa ndo maana amevuruga! Mbona Mtei kapatia ila naona umembania? au hii outing ilikuwa special kwa....
 
Tatizo ni kwamba amechanganya madesa ndo maana amevuruga! Mbona Mtei kapatia ila naona umembania? au hii outing ilikuwa special kwa....
Amepatia??? amajibuje? Makosa ngapi kwa kiswahili? ngapi kwa kingereza na mwandishi alimaanisha nini? that was the question. sasa yeye kapigilia mstari tu makosa, hajajibu lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…