Mashindano: Nani anataka a night out with Roulette?

All in all are good,
but tuwekee jina tu la 'me' tutakayetoka naye kwenda kwenye hizo shopping na hayo ma out.

Nataka nianze kutafuta ubao ule wa kufundishia darasa la kwanza niviandike kwa kutumia chaki
kwa ufasaha mkubwa then nianze kuchambua wapi kuna kosa.


Kuna alternative ya shopping, then cinema/taarab halafu sleep over with gossips about our lovers behaviors. 🙂
 
Ina makosa Mengi sana sana ..naona Post yote ina makosa

Mie hata bila kutoa majibu naonba Hiyo out ..kati yako na Ashadii
 
Madame ulikosea kutoniita mapema.

1. Kwanza Post hiyo ina makosa ya mpangilio wa sentensi, matumizi sahihi ya maneno, makosa ya kisarufi,
kuchanganya Kiswahili na lugha nyingine. Jumla makosa (4)

2. Makosa ya Kiingereza: Sentensi kutoleta maana ya muktadha uliokusudiwa, matumizi sahihi ya maneno, kuchanganya
Kiingereza na lugha nyingine. Jumla makosa (3)

3. Mwandishi alikuwa anamaanisha: Nchi hii (kwa maana ya viongozi) haijaweka vipaumbele katika mpangilio wa
uvunaji wa Maliasili, na kwamba sera zilizopo hazijaweka msisitizo kwenye uvunaji endelevu wa Maliasili zetu kwa ajili yetu na vizazi vijavyo. Na mwisho anaomba (hapa akimaanisha wataalam) kuwashauri vizuri Viongozi kuhusu udhaifu huo.

Haya naisubiri hiyo ofa!
 
bi mkubwa kwa nini umemtenga kipenzi changu Kongosho?
 
Last edited by a moderator:

tukitoka uumevaa hivo hivo!
 
nawe unataka zawadi tokakwa roulette mhm hujui huyo yuko pwani na huwaga hawatoki out
 
Majibu yangu haya hapa, ingekuwa vema ukahesabu mwenyewe kwa kuwa mtihani wenyewe
nimesha-summarize hapa chini.
1. Post ina makosa mangapi ya kiswahili?
2.
Post ina makosa mangapi ya kingereza?
3.
Poster alimaanisha nini (can you paraphrase him?)

Hii nchi bana haina mpangilio ktk matumizi ya lasili mali,
madini
ya zahabu, tanzanite, aridhi, gesi haya huku urenium tunauza nyote ndani ya miongo miwili
mkapa na kikwete) je vizaz vijavyo vitauza nn maana ndo jia pekee ya uchumi tulio
jiwekea vilaza sisi.
always we follow under weak sustainable policy. hebu mlioko karibu na watawala muwashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…