Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen Li alitoa tuzo kwa mshindi wa kwanza Bw. Vladimir Hrbal.