MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,575
- 8,911
Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda.
Hizi ni propaganda za kijinga sana.
Tujiulize swali rahisi sana Tanzania ilipeleka mashabiki kiasi gani kule Moroco kwenye Afcon?
Cote d'ievoire ama Every Cost yale mashindano yao ya Afcon 2023 walitumia USD Bilion 1 kwenye kuandaa na hata robo yake haikurudi na kulikuwa na malalamiko sana sema Serikali ikajitetea kwamba miudo mbinu ndio faida ya Afcon walio ipata wananchi.
Every Cost iliandaa yenyewe, Sasa njoo Tanzania ambako tutagawana makundi kwenye nchi tatu yaani Kenya, Uganda na Tanzania. Kwa Tanzania pia kuna uwezekana ikagawanywa mara tatu kwa maana ya Arusha, Dar na Zanzibari.
Afcon ni mashindano ya Kimasikini sana, kwa maana ya Africa, ukitoa Waarabu nchi zinaso bakia hakuna yenye uwezo wa kusafirisha mashabiki wa kutosha labda kidogo sana South Africa.
Tuombe Mungu tupate makundi yenye Waarabu ndani yake, tofauti na hapo hakuna kitu.