SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Katika kujiburudisha, binadamu wamevumbua michezo/mashindano ambayo kwa watu wengine
ni kitu cha kustaajabisha na kushangaza. Fuatilia mashindano/michezo hii hapa chini ushangae
kiasi!
1 Mashindano/Mchezo wa 'kuvaa' nyuki. Mashindano haya hufanyika nchini china kila mwaka.Washiriki hushindana
kuvaa nyuki wengi iwezekanavyo.Mshindi ni yule liyevaa nyuki wengi.Mmoja alishinda kwa kuvaa nyuki 350,000 walokuwa na uzito wa kilo 47.
Mshiriki kavaa nyuki
2.Mashindano ya Watoto kutambaa. Hii pia hufanyika china kwa kushindanisha watoto walioko
kwenye umri wa kutambaa.Watoto hupangwa kwenye mstari kisha kuamriwa kutambaa kuelekea
sehemu maalumu iliyochaguliwa. Shindano moja lililopo kwenye rekodi lilishirikisha watoto 451
Watoto kwenye mbio za kutambaa
3.Kutupa Simu. Mashindano haya hufanyika huko Finland kwa ufadhili wa makampuni ya simu.
Washiriki hushindana kutupa mbali simu zao kuukuu na anayeweza kutupa simu yake mbali zaidi ya wengine
ndiye mshindi na huzawadiwa simu mpya.
Simu hiyo inavurumishwa
Itaendelea...........
ni kitu cha kustaajabisha na kushangaza. Fuatilia mashindano/michezo hii hapa chini ushangae
kiasi!
1 Mashindano/Mchezo wa 'kuvaa' nyuki. Mashindano haya hufanyika nchini china kila mwaka.Washiriki hushindana
kuvaa nyuki wengi iwezekanavyo.Mshindi ni yule liyevaa nyuki wengi.Mmoja alishinda kwa kuvaa nyuki 350,000 walokuwa na uzito wa kilo 47.
Mshiriki kavaa nyuki2.Mashindano ya Watoto kutambaa. Hii pia hufanyika china kwa kushindanisha watoto walioko
kwenye umri wa kutambaa.Watoto hupangwa kwenye mstari kisha kuamriwa kutambaa kuelekea
sehemu maalumu iliyochaguliwa. Shindano moja lililopo kwenye rekodi lilishirikisha watoto 451
Watoto kwenye mbio za kutambaa3.Kutupa Simu. Mashindano haya hufanyika huko Finland kwa ufadhili wa makampuni ya simu.
Washiriki hushindana kutupa mbali simu zao kuukuu na anayeweza kutupa simu yake mbali zaidi ya wengine
ndiye mshindi na huzawadiwa simu mpya.
Simu hiyo inavurumishwaItaendelea...........