Mashindano ya CECAFA hayamo kwenye ratiba ya CAF na FIFA

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
baada ya kusikia cosafa hayamo kwenye ratiba ya fifa nikajaribu kupitia mtandao wa fifa kuona je cecafa imo kwenye ratiba ya fifa? nimekuta hakuna.
kwa hiyo inavyosemwa cecafa mashindano ya bonanza ni sahihi.
na ndio maana cecafa haiwezi kuweka haya mashindano ya home and away.
timu nyingi huwa hazishiriki ila yanga asiposhiriki kunakuwa nongwa kwa musonye.
nawashauri yanga mwaka huu wasishiriki mashindano hayo uhuni alioufanya musonye mwaka jana wa kuwachagulia wachezaji wa kucheza na kutoa maneno ya vitisho ubabe fedhuri iwe mwisho kwa yanga.
Tiboroha umfundishe musonye sheria za mashindano
 
Mashindano hayana calender yanaibuka kama uyoga. Wangekuwa watu makini wangeangalia calender za CAF na FIFA na kuyapangia calender yake na kuomba CAF wayatambue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…