Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejaribu kuangalia mechi ya wenyeji cameroon na Zimbabwe nikaamua kujipa moyo kwamba Tanzania tunaweza kufika hata nusu fainal au hata kuchukua ubingwa kabisa kwa maana timu zimecheza mpira wa kiwango ambacho sisi tumepita muda mrefu katika mpira huo. Tuzidi kuwapa imani vijana wetu wa taifa stars wakikaza wanatutoa kimaso maso. Kwa mpira wa wachezaji wa ndani tunafika mbali sana

Save my post#

Chan inakuja Tanzania.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Kitakachotusaidia ni kwamba wenzetu ligi zao zilisimamishwa kutokana na COVID -19 wakawa wanajiandaa bila kucheza mechi za ushindani.

Na hii ndio moja ya sababu iliyoisaidia Simba na Namungo kutoboa kwenye michezo ya CAF
 
77' Zambia 🇿🇲1-0 🇹🇿 Tanzania

#TotalCHAN2020
 
Back
Top Bottom