Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ifike mbali wapi wakati walioifanya timu ifuzu wameachwa DSM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapombe ni beki sawa kafanya makosa yaliyozaa goli sasa foward zimekosa goli zaidi ya 3 kabla hata hilo goli halijasababishwa na Kapombe.We kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwango
Kuna wakati tusipokubali kuwa wachezaji wa simba wengi kwa sasa ni bora kuliko timu zingine hatuwezi kufika mbali.Siku tutapotambua kwamba Simba na Yanga ndo zinaiua stars ndipo tutapojua cha kufanya..