Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimejaribu kuangalia mechi ya wenyeji cameroon na Zimbabwe nikaamua kujipa moyo kwamba Tanzania tunaweza kufika hata nusu fainal au hata kuchukua ubingwa kabisa kwa maana timu zimecheza mpira wa kiwango ambacho sisi tumepita muda mrefu katika mpira huo. Tuzidi kuwapa imani vijana wetu wa taifa stars wakikaza wanatutoa kimaso maso. Kwa mpira wa wachezaji wa ndani tunafika mbali sana