Mashindano ya Chan: I bet Tanzania itafika mbali

Tumerudi nyuma enzi za Malinzi za taifa stars maboresho. Malinzi na wenzake wakawaza jinsi ya kuiboresha taifa stars ni kukusanya wachezaji wasiochezea timu za ligi kuu wenye vipaji kutoka mikoani na kuwaweka kambini eti kutengeneza timu ya taifa. Ilifeli vibaya mno!

Mchezaji mpira ni zaidi ya kujua control, kupiga pasi na chenga. Mchezaji pia anatakiwa awe na stamina, makini, ajue mifumo (formations) yaani akiambiwa tunacheza 4 3 3 aelewe n.k na hivi vinapatikana kwa kiasi kikubwa kwa klabu zetu kubwa kwa maana ndizo zina miundo mbinu angalau mizuri na makocha wa viwango.

Kwa hiyo asilimia kubwa wachezaji wa klabu kubwa wana vitu vingi kuliko wa klabu ndogo na hii ni kwa dunia yote.

Siasa ziachwe simba na yanga hazikwepeki, ili zikwepeke nyanyueni akina ihefu, gwambina ,biashara utd n.k ziwe level moja na akina Tp mazembe, Al ahly, Mamelod sundowns la sivyo ni kujidanganya tu.
 
We kweli mla panya, na akili zimekuwa Kama za r a t, hivi huoni Kapombe kachomesha? Tuache kupenda timu tuupende mchezo. Leo Kapombe hakuwa kwenye kiwango
Kapombe ni beki sawa kafanya makosa yaliyozaa goli sasa foward zimekosa goli zaidi ya 3 kabla hata hilo goli halijasababishwa na Kapombe.

Ktk mchezo na Zambia kuna goli lolote uliliona kwa zile foward.
Panya ninayekula ana akili kuliko wewe ndiyo maana unakula mabaki ya panya huwezi kula anachokula panya.
 
Siku tutapotambua kwamba Simba na Yanga ndo zinaiua stars ndipo tutapojua cha kufanya..
Kuna wakati tusipokubali kuwa wachezaji wa simba wengi kwa sasa ni bora kuliko timu zingine hatuwezi kufika mbali.
Nchi zingine vilabu vyao vingi ni bora hivyo hutoa wachezaji bora.
Imagine Morocco wana waydad,raja Casablanca,fus Rabat zote zinatamba afrika sisi ni simba tu na bado tunashindwa kutumia wachezaji wake kwa utetezi wa hovyo.

Tubadilike.
 
Oya vipi mmejipangaje na nusu fainali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…