Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua.

Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado walikuwa ni wenye vipaji vikubwa. Kama wakina Boom nk.

Hongera sana kwa waandaaji.

Mshindi wa kwanza amekuwa Leonard aliyepata 10m na kiwanja.
 
Back
Top Bottom