Mashindano ya Division ZERO 2023

Mashindano ya Division ZERO 2023

NECTA imemwaga waolewaji!
Nendeni sasa mkajitwalie katika hao binti wawe wake zenu; mwenye uwezo wa kutwaa mmoja haya! Wa mbili sawa; wa kutwaa watatu nayo sawa maana jambo hili ni jema. Mmeumbiwa hao jitwalieni ila kwa njia istahiliyo.
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).

NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Kuzaliwa katika nchi hii ni raha sana. Yaani eti serikali inawasaidia wanafunzi kwa kuwafichia zero halafu kila siku hawa wachumiatumbo wanatumia migongo ya watoto wetu kukwea kisiasa. Hii ni nchi ya kipumbavu sana.
 
kuzaliwa katika nchi hii ni raha sana. Yaani eti serikali inawasaidia wanafunzi kwa kuwafichia zero halafu kila siku hawa wachumiatumbo wanatumia migongo ya watoto wetu kukwea kisiasa. Hii ni nchi ya kipumbavu sana.
Chibu hakufika hata hiyo Form 4 leo hii BILIONEA
 
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.

Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).
NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Mshindi wa hayo mashindano anapata nn?
 
Zero haiondolewi kwa siasa.

Maswala ya elimu huanzia kwa wazazi kuwajibika
Wazazi wenyewe wa wajibikaji wako wapi?

Familia nyingi za hali ya chini Unakuta Baba mlevi, Mama kupiga umbea kutwa nzima..

Hawa hawa waliofeli leo hasa mabinti waki ingia mtaani hujazwa mimba na huwa wazazi na kuendeleza Cycle ile ile ya wazazi wazembe..
 
Back
Top Bottom