establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,435
Nendeni sasa mkajitwalie katika hao binti wawe wake zenu; mwenye uwezo wa kutwaa mmoja haya! Wa mbili sawa; wa kutwaa watatu nayo sawa maana jambo hili ni jema. Mmeumbiwa hao jitwalieni ila kwa njia istahiliyo.NECTA imemwaga waolewaji!
Kuzaliwa katika nchi hii ni raha sana. Yaani eti serikali inawasaidia wanafunzi kwa kuwafichia zero halafu kila siku hawa wachumiatumbo wanatumia migongo ya watoto wetu kukwea kisiasa. Hii ni nchi ya kipumbavu sana.Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).
NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Chibu hakufika hata hiyo Form 4 leo hii BILIONEAkuzaliwa katika nchi hii ni raha sana. Yaani eti serikali inawasaidia wanafunzi kwa kuwafichia zero halafu kila siku hawa wachumiatumbo wanatumia migongo ya watoto wetu kukwea kisiasa. Hii ni nchi ya kipumbavu sana.
Aisee sio kwa kuacha mtoto hukoo.... Watakuwa wanakata miti sanaShule za umma za dar ni majanga
Mshindi wa hayo mashindano anapata nn?Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474, Division 4 (ambayo ni division 0 iliyochangamka 533=YUTONG 15 full capacity).
NB: unapata mpaka Civics, Kiswahili F?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
Wazazi wenyewe walifeli so Ni mwendo wa kuzalisha kina uchebe, Shishi na Stiv ake wajao
Wakuu,
shule ya taifa iko wapi?
Mbona kawaida tu jomba?Division ziro 474....noma sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sina mbavuSerikali inatamani ifute shule zote za binafsi zibaki shule zake za kata tu; bora tukose wote.
Tutafute pesa watoto wakasome shule nzuri.Lipo tatizo kubwa sehemu
Watoto wasilaumiwe
Kila mtoto mwenye alizaliwa timamu anafundishika
Wazazi wenyewe wa wajibikaji wako wapi?Zero haiondolewi kwa siasa.
Maswala ya elimu huanzia kwa wazazi kuwajibika