Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Hapo walivyoweka kufikiri mwisho sekunde ngapi? Kuna watu huwa wana tabia ya kulala.
Screenshot_20230831-190423.png
 
Nduli kafa kwa Noel

Fainali ni Ronaldo na Noel

Chagueni upande kabisa maana baadaye tukichukua ubingwa msije kusema mlikuwa team Ronaldo tangu mwanzo
Mi team Noel. Sema hawa jamaa nawakubali wote. Watu cool sana. Jamaa yako anasema mshindi wa tatu na fainali ni saa ngapi kesho?
 
Ronaldo anabeba hilo kombe yule jamaa ana njaa mwili mzima Leo nimeongea nae kanihakikishia hata kumfunga Sisco aliniahidi yule jamaa ni jini
 
Wanasomana hawa. Ligi ndogo ya juzi kati Ronaldo alikufa kwa Sisqo. Utashangaa safari ijao anapasuka tena. Huwa wanaenda kukagua.
 
Kabisa halafu Noel na Ronaldo hawa ndio derby wanajuana sana ila mm Nampa Ronaldo kutokana Noel anatoka kundi la watu huru ambapo wale ndoto yao kubwa ni kuzima ufalme wa Ronaldo na basi Ronaldo kulijua hilo huwa anacheza kwa sprit kubwa sana kama inamjenga
 
Ronaldo anabeba hilo kombe yule jamaa ana njaa mwili mzima Leo nimeongea nae kanihakikishia hata kumfunga Sisco aliniahidi yule jamaa ni jini
Hii mechi nmeishuhudia Ronaldo mtu mbaya Sanaa kafanya bonge la Moja la kambaki...
Uzembe wa Sisco kaongoza mechi Toka mechi ya 3 akaanza maneno, kaja kuchomolewa mechi ya 12 kaja kapigwa chuma Cha pili tege ya kwanza tuu
 
Kabisa halafu Noel na Ronaldo hawa ndio derby wanajuana sana ila mm Nampa Ronaldo kutokana Noel anatoka kundi la watu huru ambapo wale ndoto yao kubwa ni kuzima ufalme wa Ronaldo na basi Ronaldo kulijua hilo huwa anacheza kwa sprit kubwa sana kama inamjenga
Sisco kashindwa kuzima ufalme Ronaldo kazi imebaki Kwa Noel na Noel lazima apasuke hiyo kesho
 
Back
Top Bottom