Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

Hapo dakika zimeisha na kila mtu kaona. Ni dosari. Ukiibiwa namna hiyo lazima utoke mchezoni.

 
Haya mashindano yameandaliwa kwa weledi sana.
 
Kweli kabisa kahujumiwa huyo Sisco.

Kumbe hata kwenye drafti nako kuna hujuma?

Kweli Sisco ni Chuma cha pua.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ku record mechi nzima mpaka iishe ni kazi kutoka na watu kuwa wengi pia draft linachukua mda mrefu mfano Noel na Nduli wametumia masaa 3 Toka saa 10 mpaka saa 1 ndo mechi imeisha
Ukichukua video hata ya gemu 1 tu inatosha, si lazima uchukue gemu zote 3 Kaka, na haswa ya ushindi itapendeza sana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nimetoka kupokea simu muda si mrefu

Naskia Sisco amefurahi sana
Sisco na Kiwembe wamefurahi Sanaa mpaka wamevua mashati
Mangwelele ndo amini kilichotea hapa yupo hapa anasikitika tuu
 
Cr7 kakimbizwa. Kuna sare alitoa kila mtu alishangilia. Walirusha live instagram. Account ya Pascalmwakyando
 
Mashindano yamemalizika kwa Noel kuchukua ubingwa kwa kumfunga Ronaldo goli moja. Msshindi wa pili Cr7. Wa tatu Sisqo ambaye alimfuga nduli goli moja. Nduli wa nne.
 
Sisqo kafurahi sababu jana kidogo wapigane na Ronaldo. Ronaldo naye amekuwa msaniisanii sana.
Yeah namuona hapa hadi shati kavua
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…