Mashindano ya Drafti kitaifa

Fainali inakaribia kuanza, mechi ya mshindi wa tatu pia itachezwa muda sawa.
 
Mkuu shukrani sana kwa hii picha ya hawa viumbe.. Ukisikia Issa mamba unaeza ukajua jamaa yupo kama mamba kweli, kumbe chalii tu

Aka Meno ya Mamba, maana ukiingia kwenye ngoma zake ni sawa na kuingia kwenye meno ya Mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…