Mashindano ya Drafti kitaifa

Mashindano ya Drafti kitaifa

Mabingwa wanaogopa kukaguliwa miguu yao, ndo maana playok hawajitaji.

Hizo 1450+ kuzimaintain inabidi uwe mwamba kweli.
Drafti ni mchezo mgumu sana, kufungwa kwa mtego wa kitoto na unaoujua, au hata na kibonde ni jambo la kawaida.

Kujua drafti ni LAZIMA ukubali kupoteza muda wako wa masaa kadhaa kila siku. Kufuatilia ndiyo kumenifanya nipande kiwango kutoka range ya 900-1199 mpaka 1200-1249.

Ranks ziko hivi.
0-899 (mambumbumbu)
900-1199 (matura)
1200-1249 (wachezaji wa kawaida)
1250-1349 (wanaosumbua mtaani)
1350-1449 (mabingwa wa kata)
1450+ (mabingwa wa wilaya na mkoa)
 
Weekend nitakutafuta tupige mechi online, nikukague kweli kama uko kwenye rank hiyo.

Maana mwenyewe nachezea humo kwenye wanaosumbua mtaani.
 
"darriur rr" nimeshakufunga sana, ukiwemo wewe, mabata, chipawa na ligulafc
 
"darriur r" nimeshakufunga sana, ukiwemo wewe mabata, chipawa na ligulafc

Kipindi mnanifunga nilikuwa tura, sasa hivi nimeongeza miguu ya kutosha sana.

Sema sichezi online kwa sasa.

Ila nitakukagua, tutaondoa kile kipengele cha points ili game iwe square. Game 5 tu au 6.
 
Yaani tucheze non-rated games?

Una nafasi kubwa ya kupanda kiwango kwasababu,
-Vjiwe vyako unashinda na mabingwa,
-Unafahamiana na mabingwa wengi,
-Kampani yako ni mabingwa,
-Mara nyingi unawaona mabingwa wanavyocheza,
-Una contacts za mabingwa wengi kwenye phonebook yako.

Kwasababu hizo hapo juu, jilaumu sana kama hujui drafti level ya kusumbua mtaani
 
Siwezi kujilaumu kwa sababu ni kitu kiko nje ya uwezo wangu, nafsi inataka kujua draft lakini akili haiwezi kupokea.

Hata unipe miguu gani kesho nitasahau.

Nimeishia kukubaliana na hali kwamba huo ndiyo uwezo wangu wa draft.
 
Unamjua huyo godzilla..?huyo ni mkali wa vipande tu
Godzila namfahamu vizuri sana mara ya mwisho nilikutananaye mbeya akaweka kipande ambacho nakijua nikajifanya sikijui nikatia mkwanja nikamla
 
Godzila alikua anakupa kipande kama hiki hapa halafu anakuambia akishika kete za njano anatoa sare na akishika kete nyekundu anashinda, halafu anakuambia chagua upande ambao unaona utakufaa then pitisha mzigo

Ukiangalia hili draft linaweza kukupa confidence ya kushika kete za njano kwasababu utaona sare ipo peupe sana kutokana na hiyo main road ambayo umejimilikisha, lakini hiyo ni illusion tu watu wanakutia kamba ukiwa hapo hapo kwenye road

Na ndio maana wanakuambia kama kipande hukijui usije ukashawishika kucheza eti kwasababu ya wingi wa kete au namna kete zako zilivyokaa, kuna vipoande vipo unapangiwa makingi kama sita hivi na mikete mingi halafu opponent anakuwa na vikate vichache tu, ukiingia tamaa uchukue kete zenye kingi umekwenda

IMG_20211204_170900.jpg
 
Kuna hiki kipande kingine hapa tamanishi, kinakuja na sheria kwamba anayeanza kucheza ni mwenye kete za njano ambaye kete zake ambaye amekishiwa hapo kete moja ya nyuma

Sasa hili draft hapo unaambiwa nikishika kete za njano nakufunga na nikishka kete nyekundu natoa sare, haya chagua upande wako...unachukua kete za njano ili ufunge au kete nyekundu utoe sare?

IMG_20211204_170943.jpg
 
Godzila alikua anakupa kipande kama hiki hapa halafu anakuambia akishika kete za njano anatoa sare na akishika kete nyekundu anashinda, halafu anakuambia chagua upande ambao unaona utakufaa then pitisha mzigo

Ukiangalia hili draft linaweza kukupa confidence ya kushika kete za njano kwasababu utaona sare ipo peupe sana kutokana na hiyo main road ambayo umejimilikisha, lakini hiyo ni illusion tu watu wanakutia kamba ukiwa hapo hapo kwenye road

Na ndio maana wanakuambia kama kipande hukijui usije ukashawishika kucheza eti kwasababu ya wingi wa kete au namna kete zako zilivyokaa, kuna vipoande vipo unapangiwa makingi kama sita hivi na mikete mingi halafu opponent anakuwa na vikate vichache tu, ukiingia tamaa uchukue kete zenye kingi umekwenda

View attachment 2070398
Hiki kipande anaanza kucheza mwenye kete zp mkuu?
 
Back
Top Bottom