Ubwabwa Mtamu
Member
- Oct 26, 2021
- 9
- 6
Me mtaalamu sana wa Draft , naogopwa na kila mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mtaalamu sana wa Draft , naogopwa na kila mtu
Drafti ni mchezo mgumu sana, kufungwa kwa mtego wa kitoto na unaoujua, au hata na kibonde ni jambo la kawaida.Mabingwa wanaogopa kukaguliwa miguu yao, ndo maana playok hawajitaji.
Hizo 1450+ kuzimaintain inabidi uwe mwamba kweli.
Drafti ni mchezo mgumu sana, kufungwa kwa mtego wa kitoto na unaoujua, au hata na kibonde ni jambo la kawaida.
Kujua drafti ni LAZIMA ukubali kupoteza muda wako wa masaa kadhaa kila siku. Kufuatilia ndiyo kumenifanya nipande kiwango kutoka range ya 900-1199 mpaka 1200-1249.
Ranks ziko hivi.
0-899 (mambumbumbu)
900-1199 (matura)
1200-1249 (wachezaji wa kawaida)
1250-1349 (wanaosumbua mtaani)
1350-1449 (mabingwa wa kata)
1450+ (mabingwa wa wilaya na mkoa)
"darriur rr" nimeshakufunga sana, ukiwemo wewe, mabata, chipawa na ligulafcWeekend nitakutafuta tupige mechi online, nikukague kweli kama uko kwenye rank hiyo.
Maana mwenyewe nachezea humo kwenye wanaosumbua mtaani.
"darriur r" nimeshakufunga sana, ukiwemo wewe mabata, chipawa na ligulafc
Yaani tucheze non-rated games?Kipindi mnanifunga nilikuwa tura, sasa hivi nimeongeza miguu ya kutosha sana.
Sema sichezi online kwa sasa.
Ila nitakukagua, tutaondoa kile kipengele cha points ili game iwe square. Game 5 tu au 6.
Yaani tucheze non-rated games?
Una nafasi kubwa ya kupanda kiwango kwasababu,
-Vjiwe vyako unashinda na mabingwa,
-Unafahamiana na mabingwa wengi,
-Kampani yako ni mabingwa,
-Mara nyingi unawaona mabingwa wanavyocheza,
-Una contacts za mabingwa wengi kwenye phonebook yako.
Kwasababu hizo hapo juu, jilaumu sana kama hujui drafti level ya kusumbua mtaani
Godzila namfahamu vizuri sana mara ya mwisho nilikutananaye mbeya akaweka kipande ambacho nakijua nikajifanya sikijui nikatia mkwanja nikamlaUnamjua huyo godzilla..?huyo ni mkali wa vipande tu
Hiki kipande anaanza kucheza mwenye kete zp mkuu?Godzila alikua anakupa kipande kama hiki hapa halafu anakuambia akishika kete za njano anatoa sare na akishika kete nyekundu anashinda, halafu anakuambia chagua upande ambao unaona utakufaa then pitisha mzigo
Ukiangalia hili draft linaweza kukupa confidence ya kushika kete za njano kwasababu utaona sare ipo peupe sana kutokana na hiyo main road ambayo umejimilikisha, lakini hiyo ni illusion tu watu wanakutia kamba ukiwa hapo hapo kwenye road
Na ndio maana wanakuambia kama kipande hukijui usije ukashawishika kucheza eti kwasababu ya wingi wa kete au namna kete zako zilivyokaa, kuna vipoande vipo unapangiwa makingi kama sita hivi na mikete mingi halafu opponent anakuwa na vikate vichache tu, ukiingia tamaa uchukue kete zenye kingi umekwenda
View attachment 2070398
yeyoteHiki kipande anaanza kucheza mwenye kete zp mkuu?