Aman iwe nanyi
Leo mashindano ya futuhi yataanza lasimi kutimua vumbi team za England zilizojichokea chokea nazo zitakuwemo
Team hizo ni women united na team moja ambayo haijawahi kabisa kuchukua kikombe cha champion yaa n huwaga inakisiaga tu radion
LONDON BOY
Sawa, asante. Ila na kule kwenye ligi kipa kagongwa zaidi hata ya walioshika mkia...sauti inatosha au niongeze?Endelea kupanic mzee futuhi