Mashindano ya futuhi kuanza kutimui vimbu leo

Mashindano ya futuhi kuanza kutimui vimbu leo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Leo mashindano ya futuhi yataanza lasimi kutimua vumbi team za England zilizojichokea chokea nazo zitakuwemo

Team hizo ni women united na team moja ambayo haijawahi kabisa kuchukua kikombe cha champion yaa n huwaga inakisiaga tu radion

LONDON BOY
 
Na baada ya hapo kutakua ni kilinge cha batavuzi united vs makubazi Rangers ingawa mpk sasa inaonekana kama formation ni 4-4-2 lkn ni kama kuna uwezekano wakasokotana sana.

Ila finally itakua uzeen maana lazima kilinge fc wachukue kombe huku mtanange ukiwa mkali na litapigwa fataki kama wanazima fegi sheli vile.
 
Wewe chelsea futuhi utacheza msimu huu(Ajax,valencia lazima wapite) na ujao pia utakuepo futuhi.hauwezi kuikwepa, huku ni kwako usikimbie nyumbani.Haahahahha!
 
Aman iwe nanyi

Leo mashindano ya futuhi yataanza lasimi kutimua vumbi team za England zilizojichokea chokea nazo zitakuwemo

Team hizo ni women united na team moja ambayo haijawahi kabisa kuchukua kikombe cha champion yaa n huwaga inakisiaga tu radion

LONDON BOY

Achana na hiyo bangi unavuta
 
hahah *****, kwel nimeamini ukiwa serious sana utakufa mapema
 
Lasimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simi gani hilo???
 
Kwel Mungu s mzee mkumba yaan leo manu wanacheza ueropa na hawana uhakika wa kufika hata robo
 
Back
Top Bottom