'Mashindano ya Kitaifa' ya Kuchapana Makofi yashika Kasi-Moscow

Kuna wale jamaa wa vijijini wanaolima kwa jembe laa mikono, akipewa huyo mzungu ampige kofi walai atashuka na shavu lake
 
Huo mchezo ukija huku kwetu nitaingia uwanjani na kisu
 
Jamaa anapiga kofi mpaka mtu analewa.
Yaani kama haujajiandaa...likitua lazima ulewe. Kwenye mchezo huu bila 'kudanganya mwili'...huwezi kushiriki. Kwenye clip ya post ya kwanza, jamaa anatoka damu yeye anasema ataendelea...mpaka madaktari wakamkatalia aache, sasa kama siyo kuudanganya mwili ni nini hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…