Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kama haujajiandaa...likitua lazima ulewe. Kwenye mchezo huu bila 'kudanganya mwili'...huwezi kushiriki. Kwenye clip ya post ya kwanza, jamaa anatoka damu yeye anasema ataendelea...mpaka madaktari wakamkatalia aache, sasa kama siyo kuudanganya mwili ni nini hii!!Jamaa anapiga kofi mpaka mtu analewa.