Mashindano ya klabu bingwa Afrika 1974 ambayo Simba ilishiriki

Tunangoja Yanga aingie fainal sijui mtafukua kaburi gani kumfufua simba
 
Shaffih amepotosha, caf cup simba aliyocheza fainali ilikuwa inashirikisha washindi wa pili Kwenye ligi , simba alishiriki akiwa mshindi wa pili ligi yanga akiwa mshindi wa kwanza ,caf confederation cup inashirikisha washindi wa Fa cup na mabingwa wa nchi walioondolewa Kwenye champions league wakiwa na point nyingi
 
Nashangaa sana, kwamba mechi za zamani rekodi zake hazihesabiki tena?
 
Historia inasema 1969 baada ya Mechi 2 hakupatikana mshindi ikabidi Irushwe sarafu waghana wakashangilia kabla sarafu haijafika chini ikamchanganya kapteni wa yanga wakapewa ushindi kotoko
 
Wale mabingwa wa historia leo hawataki kusikia historia hii kali sana
Simba ni kuuuubwaaaa
 
Tunawaweka sawa watu wasio na maarifa. Tunajua Hakuna uto mwenye akili yakilishwa matango pori yanabugia km mazombi.

Lazima tuweke sawa. Kuwaonyesha hamna kitu kwa kichwa. Mazuzu.
Hebu nikumbushe ilikuwa mwaka gani?. Najua nilikuwa bado sijazaliwa hiyo historia. Hata hivyo nikupe hongera kwa kufika huko mwaka gani sijui? Kuna uwezekano hata wewe ulikuwa huoti hata kuzaliwa
 
Historia inasema 1969 baada ya Mechi 2 hakupatikana mshindi ikabidi Irushwe sarafu waghana wakashangilia kabla sarafu haijafika chini ikamchanganya kapteni wa yanga wakapewa ushindi kotoko
Kumbe ujinga walikuwa nao toka zamani.
 
Hizo mara 28 gongowazi walichukua ubingwa miaka gani?Kwa sababu sasa hivi wamekumbwa na kiharusi wamepoteza kumbukumbu. Ubingwa wa kihistoria haupo tena?Au kalenda imeanza 2023?
Angalizo
Kufakamia mihogo mibichi kunasababisha kumbukumbu kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…