Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaffih amepotosha, caf cup simba aliyocheza fainali ilikuwa inashirikisha washindi wa pili Kwenye ligi , simba alishiriki akiwa mshindi wa pili ligi yanga akiwa mshindi wa kwanza ,caf confederation cup inashirikisha washindi wa Fa cup na mabingwa wa nchi walioondolewa Kwenye champions league wakiwa na point nyingi
Historia inasema 1969 baada ya Mechi 2 hakupatikana mshindi ikabidi Irushwe sarafu waghana wakashangilia kabla sarafu haijafika chini ikamchanganya kapteni wa yanga wakapewa ushindi kotokoMbumbumbu fc sindano imeingia barabara.
Tulipokua tuna waambia Yanga ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika 1969 na 1970 walikua wakisema izo rekodi za Zamani.
Leo nusu fainali 1974 inaonekana ni kama Jana.
Mbumbumbu fc wanakimbizwa mchakamchaka bila kupenda.
Hebu nikumbushe ilikuwa mwaka gani?. Najua nilikuwa bado sijazaliwa hiyo historia. Hata hivyo nikupe hongera kwa kufika huko mwaka gani sijui? Kuna uwezekano hata wewe ulikuwa huoti hata kuzaliwaTunawaweka sawa watu wasio na maarifa. Tunajua Hakuna uto mwenye akili yakilishwa matango pori yanabugia km mazombi.
Lazima tuweke sawa. Kuwaonyesha hamna kitu kwa kichwa. Mazuzu.
Kumbe ujinga walikuwa nao toka zamani.Historia inasema 1969 baada ya Mechi 2 hakupatikana mshindi ikabidi Irushwe sarafu waghana wakashangilia kabla sarafu haijafika chini ikamchanganya kapteni wa yanga wakapewa ushindi kotoko