Mashindano ya kuhifadhi Quran ni moja ya vielelezo vya jinsi dunia ilivyojaa mfumo wa kibaguzi usiokubalika!

Kwahiyo hata shuleni na vyuoni kule kushindanishwa kwa kufanya debate na mitihani hakuna maana yoyote! Sikulijua hilo.
 
Nimeandika nimefuta nikaandika tena nikaona bora nifute tu. 😜
 
Hoja yangu ni kwamba hili ni jambo la dini na ni ukweli kwamba watu hutofautiana sana uwezo wa kiakili kuna huyu hata kama angekesha wiki nzima kichwani atatoka na zero lakini hiyo haiondoi nia yake ya kupenda dini na haimani kwamba mapenzi yake kwa dini yapo chini la hasha!! Hapo ndo uwezo wake umeishia ndipo nikasema kwa utashi wangu hizi mashindano zinabagua watu wenye uwezo wa chini kukarori
 
Huna akili...

Ungekuwa nazo kumuonea huruma huyo mwenye akili za chini...ungemhoji Mwenyezi Mungu ni kwanini amemuumbia AKILI ZA CHINI...

Hapo mjadala ungekuwa wa kisomi kuliko hivi ulivyoupeleka....
 
Huna akili...

Ungekuwa nazo kumuonea huruma huyo mwenye akili za chini...ungemhoji Mwenyezi Mungu ni kwanini amemuumbia AKILI ZA CHINI...

Hapo mjadala ungekuwa wa kisomi kuliko hivi ulivyoupeleka....
Kwani Mungu ndo kawatuma muwashindanishe!? Yale mashindano kaandaa Mungu?!
 
Una hoja nzito sana ila hapa wengi wenye akili ndogo watakuja na kauli zao za kitoto
 
Acha tu hao, Je wale wasioona (Vipofu) au Wasioweza kuongea (Mabubu) je wamewekwa kundi lipi?

Si ndio Waliobaguliwa kuliko wote nao wameumbwa na Mwenyezi Mungu (S.A.W)
 
Kwahiyo hata shuleni na vyuoni kule kushindanishwa kwa kufanya debate na mitihani hakuna maana yoyote! Sikulijua hilo.
Kwa ulicho kiandika imedhihirisha chuki zako binafsi dhidi ya jambo lisilo kuhusu hasa la imani tofauti na yako pia umeonesha kua wewe ni miongoni mwa wale wenye uvivu wa kufikiri
 
Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Jiografia, n.k.
 
Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Jiografia, n.k.
Asante kwa ushauri tunalichukulia hilo....

Ila kwa kuwa tunakaribia mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao Quran imeshushwa tutaendelea na mashindano hayo ya Quran kwa kiimani zaidi na si hisabati....
 
HIZI NI IMANI GANI? YANI WATU WANASHINDANISHWA KUNJUA Mungu wao? SIJAELEWA
 
Mashindano haya ya Kuhifadhi Quran yaende sambamba na Mashindano ya Kuhifadhi Hisabati, Kemia, Fizikia, Baiolojia, Jiografia, n.k.
 
Mbona huna point dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…