Mashindano ya kula ugali na mboga ya ajabu

Kibishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
1,139
Reaction score
1,031
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.)
MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa)
MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.)
MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia ya mboga)
MSHINDANI 5: (Kala ugali bila mboga)
MSHINDANI 6: (Alivyopewa ugali, akaomba pande lingine la ugali afanye mboga)
Unafikiri mshindi ni nani hapo?
 
Akili yako iko nusu washindi umewapanga afu unauliza nani mshindi??[emoji41] [emoji41]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ugali mkubwa na ugali mdogo ndio mboga
 
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.)
MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa)
MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.)
MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia ya mboga)
MSHINDANI 5: (Kala ugali bila mboga)
MSHINDANI 6: (Alivyopewa ugali, akaomba pande lingine la ugali afanye mboga)
Unafikiri mshindi ni nani hapo?
Wamwisho ndo mshindi
 
Back
Top Bottom