Kibishi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,139
- 1,031
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.)
MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa)
MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.)
MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia ya mboga)
MSHINDANI 5: (Kala ugali bila mboga)
MSHINDANI 6: (Alivyopewa ugali, akaomba pande lingine la ugali afanye mboga)
Unafikiri mshindi ni nani hapo?