Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yafanyika mjini Xiamen

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki.

Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za sekondari na kuwa katika vipengele vitano.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…