Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Ahsante bahati mbaya nina mambo mengine mengi ya kufanya.
Nawatakieni mjadala mwema
Ni kweli endelea kupitia nyuzi nyingine, huku msuli usije ukafunguka mzee wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante bahati mbaya nina mambo mengine mengi ya kufanya.
Nawatakieni mjadala mwema
Kuandika kwa Aya ni mojawapo ya kanuni za uandishi, naona wewe hujaizingatia mkuu.
Kusoma andiko refu lisilokuwa na Aya inaboa sana
Uzingatie kanuni za uandishi.Nini maon yako ?
Uzingatie kanuni za uandishi.
Habari, Insha, Mashairi, Simulizi vyote vina kanuni za uandishi ambapo humvutia msomaji na kutomchosha.