Magna Carta JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 4,347 Reaction score 6,652 Oct 22, 2019 #21 Asprin said: Ahsante bahati mbaya nina mambo mengine mengi ya kufanya. Nawatakieni mjadala mwema Click to expand... Ni kweli endelea kupitia nyuzi nyingine, huku msuli usije ukafunguka mzee wangu
Asprin said: Ahsante bahati mbaya nina mambo mengine mengi ya kufanya. Nawatakieni mjadala mwema Click to expand... Ni kweli endelea kupitia nyuzi nyingine, huku msuli usije ukafunguka mzee wangu
verifaidi yuza JF-Expert Member Joined Sep 13, 2018 Posts 2,930 Reaction score 5,913 Oct 22, 2019 #22 Nadhani huko fb panatosha sana kuendeleza ayo mawazo yako huku tuache Kama tulivyozoea utaratibu wetu Cc: verifaidi yuza
Nadhani huko fb panatosha sana kuendeleza ayo mawazo yako huku tuache Kama tulivyozoea utaratibu wetu Cc: verifaidi yuza
benny gilbert Senior Member Joined Jul 4, 2018 Posts 110 Reaction score 65 Oct 22, 2019 Thread starter #23 Mwifwa said: Kuandika kwa Aya ni mojawapo ya kanuni za uandishi, naona wewe hujaizingatia mkuu. Kusoma andiko refu lisilokuwa na Aya inaboa sana Click to expand... Nini maon yako ?
Mwifwa said: Kuandika kwa Aya ni mojawapo ya kanuni za uandishi, naona wewe hujaizingatia mkuu. Kusoma andiko refu lisilokuwa na Aya inaboa sana Click to expand... Nini maon yako ?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Oct 22, 2019 #24 benny gilbert said: Nini maon yako ? Click to expand... Uzingatie kanuni za uandishi. Habari, Insha, Mashairi, Simulizi vyote vina kanuni za uandishi ambapo humvutia msomaji na kutomchosha.
benny gilbert said: Nini maon yako ? Click to expand... Uzingatie kanuni za uandishi. Habari, Insha, Mashairi, Simulizi vyote vina kanuni za uandishi ambapo humvutia msomaji na kutomchosha.
benny gilbert Senior Member Joined Jul 4, 2018 Posts 110 Reaction score 65 Oct 22, 2019 Thread starter #25 Mwifwa said: Uzingatie kanuni za uandishi. Habari, Insha, Mashairi, Simulizi vyote vina kanuni za uandishi ambapo humvutia msomaji na kutomchosha. Click to expand... 😥😥😥
Mwifwa said: Uzingatie kanuni za uandishi. Habari, Insha, Mashairi, Simulizi vyote vina kanuni za uandishi ambapo humvutia msomaji na kutomchosha. Click to expand... 😥😥😥