PreGE2025 Mashindano ya magari kuanza kufanyika Kisarawe kuanzia Juni 29. Ni maandalizi ya Uchaguzi?

PreGE2025 Mashindano ya magari kuanza kufanyika Kisarawe kuanzia Juni 29. Ni maandalizi ya Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ameridhishwa na maandalizi ya mashindano ya mbio za magari yanayotarajiwa kufanyika Jumapili juni 29 wilayani humo.

==========

Hizi barabara mbona naona kama hazijakidhi viwango vya barabara ambazo ziko qualified kufanya hayo mashindano? Na kwanini yafanyike kipindi hiki? Au ni maandalizi ya Uchaguzi?

 
Back
Top Bottom