Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ameridhishwa na maandalizi ya mashindano ya mbio za magari yanayotarajiwa kufanyika Jumapili juni 29 wilayani humo.
==========
Hizi barabara mbona naona kama hazijakidhi viwango vya barabara ambazo ziko qualified kufanya hayo mashindano? Na kwanini yafanyike kipindi hiki? Au ni maandalizi ya Uchaguzi?