Nawaza kuanzisha mashindano ya mchezo wa draft kitaifa. Ni mchezo ambao vijiwe vingi upo na kila kijiwe kina mbabe wake. Na ni mchezo unapendwa na wengi. Swala ni kuandaa proposal nzuri ili ipate na wadhamini pia
Litakuwa jambo jema mkuu.... utakuwa umepanua wigo wa michezo na ajira nchini... kila lakheri... pia tutakuwa tayari kuchangia mawazo ya msingi kwa ajili ya kufanikisha lengo hili.